Salamu zangu za pekee Leo ziwaendee mpenzi Wang/ wife to be miss chagga...
Dada zangu DEMBA ... Dinazarde Heaven on Earth Mashaxizo Munkari farkhina na kaka zangu Kiranga Tuko OLESAIDIMU Jerrymsigwa Ntuzu kahtaan Baba V kibogo
Na wadogo zangu Perry Advocate J mbeya yetu miss neddy na mwisho mate wangu wa siku nyingi hapa JF Lunyungu
Waoh thanks sana KOKUTONA nawewe pia uwe na ijumaa kuu njema bila kuwasahau Nicas Mtei mwekundu Rogie miss neddy Mentor Evelyn Salt Madame B lusungo King'ast charming lady Horseshoe Arch Heaven on Earth dah na friends wote miye nawaambia hivi....MUSILE NYAMA LEO wala kugegedana hadi jpiliii!!! Ha ha !!
Hahahahahaaa!
Lusungo bebii mwenzio spendi uniweke katika orodha ya madada zako!
Napenda niwe mchumba wako na huyo miss chagga asikuzuzue mtoe uniweke mimi hapo!
...
Love you soo much Lusungo!

Senkiyu miss neddy nawatakieni nyote Wana Jf Heri na fanaka Ktk sikukuu hizi!
UPENDO NDIO AMRI ILIYO KUU!
Kwasababu "MUNGU NI UPENDO"
Hahahahaha penzi letu bado bichi jamani miss chagga ni kila kitu kwangu sitaki kumsalitiii
Basi achana nami! Mimi sio dada yako! Au mku.du unakuwasha?

afu wewe unanichanganyaga
hivi kumbe ni ke eeeeh
Excel my king nakutakia ijumaa njema heri na fanaka zimiminike kwako msimu huu wa sikukuu
ijumaa njema pia kwa OLESAIDIMU
utafiti miss chagga Chocs ICHANA Mndengereko Mashaxizo venine mwallu Ntuzu Evelyn Salt Honey Faith TATIANA Jerrymsigwa Arushaone and Lady doctor Tized sungura1980 Bantu lady
Ha ha ha hivi nawe humwelewagi eeh?
Dahhh....
Naomba nisiongee chochote.. Ila nakutakia heri ya siku kuu hizi tatu muhimu..
Salamu zangu za pekee Leo ziwaendee mpenzi Wang/ wife to be miss chagga...
Dada zangu DEMBA ... Dinazarde Heaven on Earth Mashaxizo Munkari farkhina na kaka zangu Kiranga Tuko OLESAIDIMU Jerrymsigwa Ntuzu kahtaan Baba V kibogo
Na wadogo zangu Perry Advocate J mbeya yetu miss neddy na mwisho mate wangu wa siku nyingi hapa JF Lunyungu
Excel my king nakutakia ijumaa njema heri na fanaka zimiminike kwako msimu huu wa sikukuu
ijumaa njema pia kwa OLESAIDIMU
utafiti miss chagga Chocs ICHANA Mndengereko Mashaxizo venine mwallu Ntuzu Evelyn Salt Honey Faith TATIANA Jerrymsigwa Arushaone and Lady doctor Tized sungura1980 Bantu lady
kabisaaaaa swaga zake sometime kama me