Wise words in its number for you

Mmmh is my brother from another mother,kama yupo na Dena Amsi watakuwa wapo kanisani maana moja shemasi mwingine mwimba kwaya,ila Mr Rocky akikuzingua uniambie apate manundu

Mhhh siyo wako NAROK saa hizi....!

Mimi meshindwa mwaya nina wivu hadi unamwagika
 
Mhhh siyo wako NAROK saa hizi....!

Mimi meshindwa mwaya nina wivu hadi unamwagika
Usiwe na wivu Mr Rocky ana msimamo,kila jumapili asubuhi anaamka anaelekea kanisani,wala usijali,mshinde shetani anayekukatisha tamaa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…