Kinacho sikitisha zaidi ni kuona wanawake ndio tunaoendeleza
Hakuna kilichopo sawa kwenye vilivyoorodheshwa.nyie 'mafeminist' wawili mbona mnajadili tu mfumo dume bana...hapo si kuna mambo kadhaa TM kaorodhesha, vipi hayo yapo sawa? ndo fikira chanya hizo?
kuridhika hakunatofauti na kukata tamaa!..hilo ndo tatzo kubwa lnalo2fanya waafrika 2bak nyuma,tunajcompare na walio chini ye2!kunafaida gn ya kua wa kwanza kati ya darasa la mbumbumbu?..we will never grow with that attide!
hasa huko kwenye kitchen parties ndio balaa, unafundishwa kuwa mnyenyekevu na mvumilivu assumption ikiwa mambo yapo sawa na yanafanana kwa couples zote. Sijawahi ona mwanamke anafundishwa alternatives za kudeal na abusive husband... ikitokea kawa hivyo. Majukumu ya kuhuisha ndoa 'for bad for worse' wamejitwika wanawake wenyewe... na wanaume wakajua loop hole hiyo na kuitumia barabara.
ndo utaona mtu akifanikiwa zaidi utasikia 'fisadi yule' (mfano mzuri Mwammy juzi kati hapa tulirushiwa jumba lake la maana) watu hawataki hata kujiuliza mara mbili mbili mwenzangu kafikaje pale? na mimi kwa nini nisifike?
tunabaki tu kujipa moyo na matumaini eti 'so and so' hana hata kibarua heri mimi, sos and so bado anakaa kwa wazazi heri mimi nimepanga, so and so hivi bora mimi.....tutabaki hivo hivo kwa woga wa 'kukufuru'
asante sana tausi Mzalendo
Be blessed
hasa huko kwenye kitchen parties ndio balaa, unafundishwa kuwa mnyenyekevu na mvumilivu assumption ikiwa mambo yapo sawa na yanafanana kwa couples zote. Sijawahi ona mwanamke anafundishwa alternatives za kudeal na abusive husband... ikitokea kawa hivyo. Majukumu ya kuhuisha ndoa 'for bad for worse' wamejitwika wanawake wenyewe... na wanaume wakajua loop hole hiyo na kuitumia barabara.
does being positive entail kuridhika tu na chochote ulichonacho na usitake ku achieve zaidi kwa kujifananisha tu na wengine ambao hawajafikia hata kidogo ulichonacho au what does being positive mean in this context?
Ingekua wishes ni toys wanauza dukani.... One of my wish would have been to know Gaijin... So very rigidly mysterious...
I was about to give thanks to the advice but umenibadilisha mawazo. For positive achievements we have to look on things above us.
Yaani hizi kitchen party ningekuwa na uwezo ningezipiga marufuku. zinajaza upumbavu mwingi sana ndani ya vichwa wanawake. Basically kwenye kitchen party wanawake wanaandaliwa kuwa watumwa wa waume zao period.
What is wrong with having a positive mental attitude?
there is nothing wrong with it...
lakini je ina maana basi uridhike tu na ulichonacho kwa kuwa kuna wengine hawana kama chako?
What is wrong with having a positive mental attitude?