Si security organizations tu. Siku hizi all sorts of "spying" equipment can be bought at your local high street in many countries. Mi mwenyewe nafikiria kununua, si "wire" per se, but a small recording device that I will carry around with me when I come back to TZ ili niwakomeshe watu wanaosumbua wenzao e.g. bandarini, TRA etc. Then I create a kind of evidence library,
Yeah man.. that's the guy who was trashing President G. W Bush for signing the PATRIOT ACT!Wiretapping sasa hivi baada ya kuregister namba zenu ndo itapamba moto vizuri. Maana kabla ya hapo ingekuwa taabu kidogo.
Marekani leo Obama amextend Patriot Act ambayo inairuhusu serikali kuspy on Americans, taabu kweli!!
Yeah man.. that's the guy who was trashing President G. W Bush for signing the PATRIOT ACT!
ACLU guys are mad as hell!
Brutus, kuna kitu katika haya mambo ya surveillance nakijua lakini sidhani hata kidogo serikali yetu hapa Bongo iko aware nacho au kuweza tu kukifikiria. Siwezi kukisema hadharani, maana nikifanya hivyo hawachelewi ku-draft bill na ku-fast-track ili sheria ipitishwe kuzuia maendeleo yake kutokana na nia yao ya kutaka ku-tontrol na kumonitor mawasiliano yetu yote. So I'll remain silence as I'm a staunch proponent of freedom of information!!!
FANUEL who?