Wakuu habari za majukumu? Natumai mnaendelea vizuri na majukumu ya maisha ya kila siku. Kutokana na changamoto ya janga la Korona hivyo inatupasa kujikita zaidi katika "digital marketing" and "online businesses". Nimeona humu jukwaani watu wakijaribu kuulizia na kutaka kufanya manunuzi ya vifaa...