Wireless support

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,527
Reaction score
5,981
Naomba mwenye msaada wa karibu anijuze.
Nina device ya 4G LTE, model yake ni UWR-200K. Anayejua Default wep key yake anijuze.
 
Mostly inakuwa imeandikwa nyuma kwnye aticker au ukifungua mfuniko wa battery kwenye mfuniko kwa ndani
 
incase jibu la juu ukiona unaeka default hazikubali kunakuwa na kitundu kidogo cha ku hard reset unatafuta kalamu au pini nyembamba unapabonyeza inajirudisha default.
 
Mkuu,nimeireset sababu kuna dogo kaichezea na kusahau wep key,kumbe na mi nimeireset huku nyuma hizo details haina.Huwaga naziona kwingine lakini yenyewe haina.Nilitaka tu kama kuna mtu ana same model anisaidie
 
huwa kuna password za aina mbili moja ya wifi na nyengine ya dashboard.

ichomeke kwenye pc kisha ikija ile dashboard jaribu username admin na password admin ukifanikiwa kuingia ndani utaweza kuchange password ya wifi
 
Hivi hakuna utundu wa kupata wi-fi password ya mtu jirani nikatumia bila yeye kuniruhusu? Kama kuna ujanja huo naomba hiyo elimu tafadhali.
 
huwa kuna password za aina mbili moja ya wifi na nyengine ya dashboard.

ichomeke kwenye pc kisha ikija ile dashboard jaribu username admin na password admin ukifanikiwa kuingia ndani utaweza kuchange password ya wifi

Kuichomeka kwenye PC ni kucharge tu. The only way kuifungua ni kuwa na default password yake
 
Kama ina sehem ya LAN chomeka LAN kwenye computer then nenda kwenye ip dial up yake.. Angalia kati ya 192.168.0.1 au 192.168.1.1 then itakuomba user name weka admin na password weke admin!,
Jariby ivyoo!.
 
Mkuu,ukiangalia model yenyewe si kubwa ya kuwa na LAN Port. USB Connection na yenyewe ni kucharge tu basi.Configurations zote ni via wireless tu
 
Am sure iyo cable ya USB ina supply internet!!...try other pc mkuu!! Au check drivers za usb kwenye pc!!!.
 
Ebu check hiyo picha.The 4G LTE device,cable ni ya kucharge tu
 
Attachments

  • UWR-200.png
    4 KB · Views: 49
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ