wireless na bluetooth connection problems kwenye laptop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wireless na bluetooth connection problems kwenye laptop

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kilikou, Jul 11, 2012.

 1. k

  kilikou Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  laptop yangu inagoma kuconnect wireless na pia bluetooth connection ingawa inaonyesha kwamba ilvyotengenezwa iliwekewa features za kusuport
   
 2. leh

  leh JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  umeformat hiyo laptop yako? hardware zote zilizopo kwenye computer zinahitaji drivers ili windows iweze kuzitumia na kuzielewa. cd za windows zinakuja packed with drivers za common hardware lakini unakuta kuna some types of hardware ambazo hazina drivers ndani ya window cd na inabidi ufanye manual installation.
  kujua kama ni drivers za bluetooth hazipo, right click my computer>manage>device manager. then angalia icon zilizopigwa alama ya mshangao ya njano, jot them down and uandike hapa I'll let u know
  pia, jaribu this simple test. nenda kwa any music file, right click>send to>bluetooth device uangalie windows itasemaje

  kwa hayo mambo mawili, tutajua wats wrong with ur bt
   
 3. k

  kilikou Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i got it shukrani sana wadau
   
Loading...