beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Nimeletewa zawadi na mtu anayeamini naweza kuwa na interests nayo.
Zipo zaidi ya 10. Nafikiria kuziuza na pesa kununulia kitu kingine kitakachonifaa na ambacho kitakuwa mbadala wa zawadi hii ambayo kiukweli sina matumizi nayo.
Nauliza, hizi wireless adapter ni wapi zinaweza kuwa zinahitajika zaidi? Mimi sizifahamu sana. Wajuzi mnisaidie hapa.
Na nikitaka kuuza naziuzaje?