Nauza cctv Camera pamoja na screen ndogo kama sikosei ni 7 inch.Ni nzuri kwa matumizi ya biashara kama duka kwa ajili ya kuweka usalama kwa vibaka.Lakini hairikodi matukio ila utakuwa na uwezo wa kuona tu.Ipo Dar na bei ni shs 120,000 tafadhali mpigie Habib 0717810318.
Camera inatumia umeme na monitor pia inatumia umeme isipokuwa conection baina ya Camera na Monitor ndio hazihitaji waya wowote zinaweza zika-comunicate bila wasiwasi.
Dah!! swali muhimu sana hili mkuu,sasa kwakuwa sina jibu naomba muda nitafute model namba halafu nijaribu ku-google.Tatizo langu kubwa hivi vitu nimesafirisha Dar na mimi sipo huko ila nitajaribu kuomba msaada wa model namba halafu nitarudi kwako mkuu I hope itakuwepo na kama itauzwa unisamehe mkuu wangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.