Asante kwa ushauli.
Ila naswali mm natumia vifaa vya tp link na na vicontrol kwa kutumia amoda cloud control kwa kutengeneza vocha za kukonect wifi ili kuzuia watu wasiingie kwenye mfumo bila ya kuaceas kwa vocha sasa ni repeater ipi itakayo weza kukubali kuendelea ku conect kwa code/vocha. Maana repeater nyingi zina user paswad moja tu.