ghetopuzzle JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 440 Reaction score 504 Feb 6, 2017 #1 Naomba mwenye winrar nisaidiwe nina shda nayo wakuu
TheGreatASA JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 302 Reaction score 393 Feb 6, 2017 #2 WinRAR inalipiwa, kwanini usitumie 7-Zip ambayo ni bure.
ghetopuzzle JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 440 Reaction score 504 Feb 6, 2017 Thread starter #3 wahid1 said: WinRAR inalipiwa, kwanini usitumie 7-Zip ambayo ni bure. Click to expand... Ninahitaj kuzip file nimtumie mtu hiyo itaweza? Kama inaweza naomba link yake niipakue
wahid1 said: WinRAR inalipiwa, kwanini usitumie 7-Zip ambayo ni bure. Click to expand... Ninahitaj kuzip file nimtumie mtu hiyo itaweza? Kama inaweza naomba link yake niipakue
TheGreatASA JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 302 Reaction score 393 Feb 6, 2017 #4 7-ZIP inafanya kazi zote za WinRAR haina shida. Ni bure kabisa.
ghetopuzzle JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 440 Reaction score 504 Feb 6, 2017 Thread starter #5 wahid1 said: 7-ZIP inafanya kazi zote za WinRAR haina shida. Ni bure kabisa. Click to expand... Naomba link niipate hiyo 7-zip mkuu
wahid1 said: 7-ZIP inafanya kazi zote za WinRAR haina shida. Ni bure kabisa. Click to expand... Naomba link niipate hiyo 7-zip mkuu
TheGreatASA JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 302 Reaction score 393 Feb 6, 2017 #6 www.7-zip.org
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,694 Reaction score 2,588 Feb 6, 2017 #7 wahid1 said: 7-ZIP inafanya kazi zote za WinRAR haina shida. Ni bure kabisa. Click to expand... Kasoro 7zip haitengenezi Rar files ila inaweza kufungua. Winrar inapatikana hapa katika free trial version ambayo haiexprire WinRAR archiver, a powerful tool to process RAR and ZIP files WinRar inategemea uaminifu katika ununuzi wa license.
wahid1 said: 7-ZIP inafanya kazi zote za WinRAR haina shida. Ni bure kabisa. Click to expand... Kasoro 7zip haitengenezi Rar files ila inaweza kufungua. Winrar inapatikana hapa katika free trial version ambayo haiexprire WinRAR archiver, a powerful tool to process RAR and ZIP files WinRar inategemea uaminifu katika ununuzi wa license.
TheGreatASA JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 302 Reaction score 393 Feb 6, 2017 #8 [emoji106][emoji106][emoji106]
VLAN999 Senior Member Joined Dec 18, 2016 Posts 124 Reaction score 84 Feb 6, 2017 #9 7-Zip is the Beast
ghetopuzzle JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 440 Reaction score 504 Feb 6, 2017 Thread starter #10 Asanteni wakuu