Wingu zito maandamano Mbeya

Wingu zito maandamano Mbeya

UFO

Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
16
Reaction score
2
Vuguvugu la maandamano ya kupinga kuendelea kwa bunge la katiba sasa linashika kasi kwenye jiji la Sugu, na habari za kuaminika zinasema mji wa Tunduma pia maandalizi ya mandamano na migomo imekamilika.
 
Kwa Mbeya nawaaminia hasa wale vijana wa boarder huwa wako strategic kweli kweli.
 
madereva wa malori ya kwenda nje unganeni na watetezi wenu maana hao wakubwa wanalipana posho mingi ninyi mnaambulia kiduchu na malori ni yao.
 
mbeya hatuna upuuzi huwo. kilamtu yuko bize. kutafuta liziki ya watoto
 
Vuguvugu la maandamano ya kupinga kuendelea kwa bunge la katiba sasa linashika kasi kwenye jiji la Sugu, na habari za kuaminika zinasema mji wa Tunduma pia maandalizi ya mandamano na migomo imekamilika.
utafiti unaonyesha kwamba sita ndiye mtu anayechukiwa zaidi kwenye eneo la maziwa makuu .
 
mbeya hatuna upuuzi huwo. kilamtu yuko bize. kutafuta liziki ya watoto
Upuuzi ni upi?kupigania haki kwa ajili ya watoto wetu na vizazi vijavyo si upuuzi,mpuuzi ni wewe unaejua ukweli ukajifanya huuoni kisa ni mnufaikaji au unatafuta kunufaika na mfumo wa kinyonyaji na kandamizi.VIVA CDM,VIVA WATANZANIA.
 
V habari za kuaminika zinasema mji wa Tunduma pia maandalizi ya mandamano na migomo imekamilika.

kumbe ni maandalizi tu. NAONA WANAONGELEA JUU YA MTI,WAAMBIE WASHUKE KWENYE MTANANGE.
 
Back
Top Bottom