Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

Huo nao ni uchochezi, hatuna haja ya kuhofu mgari ya Polisi katika nchi yetu, kila mmoja anajua wajibu wake na haki yake. Bahati nzuri hakuna atakayelazimishwa kumpigia kura kiongozi fulani, mawakala wa kila chama wapo, tutumie muda uliobaki kuwaelimisha mawakala wa vyama vyetu wasipindishe ukweli.
 
You can't be serious!

I mean, you want to tell me the whole thing happening this close to the election is not a calculated move?

You think it's just a mere coincidence?

And the looks of it don't bother you one bit?

Wow...just wow!!
Kikwete would have been advised wrongly-them days when one could flex muscles are long gone-too many checks and balances now-what the opposition have to fear currently is rigging,kama wataweza kukaba hata penalt then victory is immenient
 
Tutapigana mwaka huu hadi heshima ya mtanganyika irudi,,kifupi matokeo tumeshayaona mitaani na tunajua nani rais wetu sasa CCM wakileta ujinga tunawachinja hadharani.
 
Mtoa mada hongera sana una upeo mpana sana wa kufukiri..Mwenyezi Mungu akulipe kwa makala hii nzuri kwani imetuamsha wengi

Time for change..people's power ✌
 
Tutapigana mwaka huu hadi heshima ya mtanganyika irudi,,kifupi matokeo tumeshayaona mitaani na tunajua nani rais wetu sasa CCM wakileta ujinga tunawachinja hadharani.

Tuko pamoja kamanda wangu....kitaeleweka tu watake wasitake watang'oka tu
 
Ni kana kwamba uchaguzi ni kitu kibaya kinachoweza kuvunja amani. Kama ni hivyo uchaguzi ni wa nini?
Wote tunataka kujenga nchi moja, tofauti zetu ni mikakati ya kuijenga, sasa vitisho vya nini?
Tuombe sana wananchi wasije waka-react, inaweza kuwa hatari, Nakumbuka mwaka 2010 mabomu yalivyorindima sehemu mbalimbali za nchi. Natarajia mwaka huu yasisikike tena maana ni hatari wananchi wakiyazoea
 
Kikwete would have been advised wrongly-them days when one could flex muscles are long gone-too many checks and balances now-what the opposition have to fear currently is rigging,kama wataweza kukaba hata penalt then victory is immenient

What checks and balances are you talking about?

Last I checked JK and his predecessors were all potentates.

His successor, too, is going to be a potentate.

That will only change if we get a new constitution that reasonably circumscribes presidential powers.

But until then, I don't see those checks and balances that you are talking about.
 
Hakuna tawala dhalimu zilizo dumu na hii ccm haiwezi kuiepuka.
 
The international community,are the checks-any wrongdoing and they bring you on your knees-poor as we are,we cannot withstand the aftermath of eg sanctions,no aid etc
 
You can't be serious!

I mean, you want to tell me the whole thing happening this close to the election is not a calculated move?

You think it's just a mere coincidence?

And the looks of it don't bother you one bit?

Wow...just wow!!

ICC umeijua jana? Mbona kila kitu mpaka mkaririshwe, kwani mwaka2010 hawakujua ICC iko wapi, au baada ya ujio wa Lowasa ndo umewazindua kutoka usingizini na kujua kuwa kina ICC, uchaguzi utakwenda fresh na Makufuri atashinda bila wasiwasi wowote ule. ICC ndo swaga mpya za chadema(hayo ndo mabadiliko- chadema)
 
Kwani hayo magari yatakufuata nyumbani yakushambulie??!!
Hutaki Polisi wawe na vitendea kazi??!!!

This is too low hasa inapotoka kwa mtu anayeheshimika humu kama wewe...muda ulioutumia kuandika post yako ungeweza kuutumia kujibu hoja yake.
 
hivi ni mara ngapi jeshi linalaumiwa kwa kutofika kwa kwenye matukio? tatizo huwa ni nini kama sio kukosa magar, mafuta n.k?

kwa waliokuwepo kwenye pass out ya wakaguzi pale MPA au CCP 2013, watakumbuka kuwa, mkuu wa Jeshi hilo IGP Mwema, aliahidi kugawa gari kwa kila tarafa. na aliahidi kuwa tayar mchakato wa kununua magari 700 uko hatua za mwisho, na muda ukifika magari yataletwa kwa ajili ya kila tarafa yenye kituo cha polisi ili kusogeza huduma kwa wananchi. haya yalisemwa na mwema.

sasa leo miaka 2 baadae, utekelezaji wa ahadi hiyo, kwa nini uhusishwe na siasa? kwani kama ni siasa, ni mkurugenzi gani akiombwa gari kwa ajili ya usimamizi wa kura atakataa? tumieni akili enyi watanzania.

hata hivyo hayatoshi, maana kuna wilaya hazina hata gari moja, zinaweza ambulia angalau mawili.

mi nawaoongeza jeshi la polisi, nawaombea kwa Mungu watende haki. kampeni zimemalizika salama, basi na uchaguzi umalizike salama.
 
The international community,are the checks-any wrongdoing and they bring you on your knees-poor as we are,we cannot withstand the aftermath of eg sanctions,no aid etc

The international community cannot be the checks and balances to our system of government.
 
Amani HAIOMBEWI ili AMANI iwepo kila mmoja wetu atimize wajibu wake kutenda HAKI

mie natimiza wajibu wangu. nitapiga kura, nitaenda nyumbani/mishe zangu. 11 jioni, narudi kituoni kusubir matokeo
 

Timing yake unaiona ni sawa tu? Kwamba haikuwa imelengwa kwa makusudi kutuma ujumbe..? Au unadhani timing yake zikiwa zimebakia siku chache kabla ya uchaguzi ni sadfa tu na kwamba matukio hayo mawili hayana kabisa uhusiano?
 
Ukiona watu wanatumia nguvu kubwa kuilinda amani,ujue watu hao ni wavunjaji wa haki.
PENYE HAKI HAPAZUNGUMZWI NENO AMANI,MAANA WATU HAWANA MUDA KUHANGAIKA KUTUNZA KITU AMBACHO KINA GUARANTEE YA KUENDELEA KUWEPO CHENYEWE.

NI UCHIZI KUZUNGUMZIA AMANI PASIPO NA HAKI,SAWA TU NA KUZUNGUMZIA MWANA BILA BABA.

WAPENI WATU HAKI ZAO,HAMTAHITAJI BUNDUKI KUILINDA AMANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…