Wingi wa hela mpya kwenye ATM unamaanisha mzunguko mdogo?

Gulf5

Senior Member
Jun 20, 2016
120
51
Wajamani why? Ukitoa hela/pesa ktk banks unakuta notes mpya ina maana, circulation of money ni mdogo au it seems we produce more currencies while production is going down. Nawasilisha
 
Sikawahi kutoa pesa benk zikaja chakavu....

Wewe sijui umehamia lini hapa nchini
 
Huku Songea siku zote tunakuta fedha za zamani. Labda ungetusaidia kwa kutueleza hizo fedha unatoa wapi na uko mkoa gani
 
Isije ikawa Dr Magufuli kaikuta hali mbaya ya kifedha ktk nchi na kuamuru kuchapwa kwa hela mpya ziingizwe kwenye mzunguko kama ilivyowahi kutokea enzi za Mzee Ruksa
 
Watu wamegoma kuweka ela bank nikiwa mm mmoja wao siweki nasitaweka nitakua nachukua to bas
 
Wajamani why? Ukitoa hela/pesa ktk banks unakuta notes mpya ina maana, circulation of money ni mdogo au it seems we produce more currencies while production is going down. Nawasilisha
Wajamani why? Ukitoa hela/pesa ktk banks unakuta notes mpya ina maana, circulation of money ni mdogo au it seems we produce more currencies while production is going down. Nawasilisha

hili ni suala la kiuchumi zaidi , halitakiwa kujibiwa kwa akili za mitaani...ngoja kwa hili nitulie
 
Sikawahi kutoa pesa benk zikaja chakavu....

Wewe sijui umehamia lini hapa nchini
Am typical Tanzanian my friend, hela chakavu indicates mzunguko wa hela ni mkubwa vice versa is true ndg fanya research
 
Huku Songea siku zote tunakuta fedha za zamani. Labda ungetusaidia kwa kutueleza hizo fedha unatoa wapi na uko mkoa gani
It doesn't matter Lizabon where am I?, make a simple research daily fedha nyingi ukitoa ni mpya pendige unajikuta ndo wa kwnz kuikunja
 
Wajamani why? Ukitoa hela/pesa ktk banks unakuta notes mpya ina maana, circulation of money ni mdogo au it seems we produce more currencies while production is going down. Nawasilisha
Dah.. nina zaidi ya mwezi sasa nina noti ya buku 2 mfukoni na wala sijatumia. sioni haja ya kushikashika noti, maana ninarusha na kurushiwa tu :)
 
Watu wamegoma kuweka ela bank nikiwa mm mmoja wao siweki nasitaweka nitakua nachukua to bas
sawa mkuu endelea kufanya hivyo ila siku WAHUNI wakikutimbia maskani kwako na kukwambia "tunataka hela yetu", tunaomba uje utupe mrejesho mkuu.
 
Back
Top Bottom