WinForms = Windows Forms
Mentor wala sio mageni labda sema alivyomix winforms programming(inakuwa na ukakasi kidogo).,
Hadoop sasa labda ungekuwa specific unatumia language gani na IDE gani labda ingekuwa rahisi kupata msaada badala ya kusema tu winforms programming kwa ujumla.