Wine na glass ya gongo lol!


 
mbona hiyo chupa ni kama zile banana wine au malaika, kama ni hivyo kwa glass hiyo ngoma droo...

Loh.. umenikumbusha vya banana wine.
Yani mwenzenu kipindi hicho naisikia nikajua ni kundi la kina dodoma wine...
Siku ya kwanza naiona na mazingira nilipoikuta nikabaki kutoa mimacho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…