winchester
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 284
- 333
imeandikwa asikulaumu mtu kwa swala la nyakati na majira. Sikumbuki ni mstari upi lakini soma warumi sura 14;6 na kuendelea yeye aadhimishae siku huiadhimisha kwa bwana ..... Soma warumi 14 inamambo mengi tu. Wakolosai 2; 16 inasema basi mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi au sabato. Ndugu unayeuza wine endelea kuuza mtu kwa amani tu.jamani christimasi haijaandikwa ktk biblia ni sikukuu ya kipagani tu
Una fahamu maana ya "OLE WAKO!".
Au mzee umeingia hapa Full kiroba tayari?
Nakuongeza na andiko la agano Jipya Uone Ulevi umewekwa ktk kundi gani hapa.
Wagalatia 5:19-21 ''-Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,-ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,husuda,-ULEVI, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa MUNGU.''
Biblia mnayo lkn Kusoma hamtaki.
Acha Kunywa ULEVI kijana.
Utakufa na Laana ya Mungu.
Na hauto uona wala kuurithi Ufalme Wa MUNGU .
Kwa maana Nyingine UTATUPWA JAHANNAMU Moja kwa moja.
jamani christimasi haijaandikwa ktk biblia ni sikukuu ya kipagani tu
Yesu alitengeneza Bia?Hakuna dhambi hapo, hasira, uvivu kwa kipimo gani, kuna mtu asie na hasira au wivu? Pombe ukizidisha kama hasira na wivu ndio mbaya, dhambi as per bible ni zile amri kumi tu, tena kadhaa kama kuua, kuzini si dhambi kwangu, sasa hizi nyege ameumba za kazi gani kama kuzini dhambi, anatutest? Ile bia mbona Yesu alitengeneza kwenye ile harusi, mwana wa Mungu aka Mungu kwanini awatengenezee watu beer kwenye tafrija. Acheni porojo misinterpretation na uoga, wacha watu wanywe bia watu watengeneze doo maisha yasonge.
Ole wako sio dhambi, maana yake ni kama vile kuwa makini anything too much is harmful, Jahanamu hizo ni fix tu.
Ni vigumu sana kumfundisha mtu ambaye toka utotoni alifundishwa ouvu. Ndiyo maana ukisoma maandiko matakatifu, hili liko wazi: "Walifundishwa uovu wakiwa kwenye matumbo ya mama zao" ukiona mtu anasoma Biblia Takatifu halafu anakataa ukweli wa hayo maandiko. Cha muhimu ni kuwa siku ukipata ufahamu wa kujua kweli hutarudia kuandika ulichoandikaKumbe wagalatia ni WAKRISTO eti?
Dah.. leo nimejifunza kitu muhimu sana.
Ahsanta.
Unafundishwa vipi uovu ukiwa tumboni?Ni vigumu sana kumfundisha mtu ambaye toka utotoni alifundishwa ouvu. Ndiyo maana ukisoma maandiko matakatifu, hili liko wazi: "Walifundishwa uovu wakiwa kwenye matumbo ya mama zao" ukiona mtu anasoma Biblia Takatifu halafu anakataa ukweli wa hayo maandiko. Cha muhimu ni kuwa siku ukipata ufahamu wa kujua kweli hutarudia kuandika ulichoandika
Ahsanta
Mkuu wangu upo? Kitambo aisee....
Unafundishwa vipi uovu ukiwa tumboni?
Teh teh teh.
Nyie wagalatia Mnapenda kubeba maandiko mazima bila kujua maana.
Sasa kwa maana ulioandika hapa kuna uwezekano wa kumfundisha mtoto wakati hata kupumua hajui au sio?
Ukafiri kaazi kweli kweli.
Ahsanta.
Mkuu mwaka huu IPO?Kwa wanohitaji wine a in a ya veyula kutoka dodoma ni 7500 kipindi cha sikukuu.. Wani WhatsApp kwa number 0716376587 au wapige number 0672818879