Uzinzi na divai, na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.(Hosea 4:11)Kwa wanohitaji wine a in a ya veyula kutoka dodoma ni 7500 kipindi cha sikukuu.. Wani WhatsApp kwa number 0716376587 au wapige number 0672818879
Dry au red?
Wapi picha tuone kwanza
Unataka picha ya Ulevi?
Teh teh teh.
We naona kiroba tayari.
Ustaadhi kahtaan umenifurahisha sana.wagalatia huwa tunajisahau sana. Na ukiwaeleza ukweli kama huu wanapinga.ila kwa kuwa umefanya qoutations.hakuna atakayetia mguu hapaUzinzi na divai, na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.(Hosea 4:11)
Ole wa taji ya kiburi ya walevi wa Efraim na ua la uzuri wa fahari yake linalonyauka, lililo kichwani mwa bonde-linalostawi la hao walioshindwa na divai! (Isaya 28:1).
Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu huchanganya vileo, wampao haki-mwenye uovu ili wapewe ijara na kumwondolea mwenye haki haki yake. (Isaya 5;22-23).
Ole wao waamkao asubuhi na mapema, wapate kufuata kileo, wakishinda-sanahata usiku wa manane mpaka-mvinyo imewaka kama moto ndani-yao! Na kinubi, na zeze na matari na filimbi, na mvinyo zote ziko katika-karamu zao lakini hawaangalii kazi ya Bwana wala kuyafikiri matendo ya mikono yake. (Isaya 5:11-12
Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu, litiapo bilauri rangi yake ishukapo taratibu; mwisho wake huuma-kama-nyoka; Huchoma kama fi.ra. Macho yako yatakuwa mambo mageni; na moyo wako utatoa yaliyopotoka,Naam, utakuwa-kama-alalaye katikati ya bahari; Au kama yeye asinziaye juu ya mlingoti.-
Utasema,wamenichapa wala sikuumia, wamenipiga wala sina habari, Nitaamka lini, nitazidi kuitafuta tena.(Mithali 23:31-35).
Wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia, huota ndoto, hulala, hupenda usingizi. Naam, mbwa hao wana choyo-sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno, wote pia wamegeuka-upande, wazifuate njia zao wenyewe kila mmoja kwa faida yake toka pande zote. Husema, njooni nitaleta divai,na tunywe-sana-kileo na kesho itakuwa lama leo sikukuu kupita kiasi
.(Isaya 56:10-12).
Wote wanaowaita watu ktk UKEVI Andiko limewaita ni.MBWA
ACha tabia mbaya mara moja.
Tunajaribu kuwakumbusha watu kuwa sio waislamu tu waliokataza huo Ulevi bali hatta Bibilia imekata katakata lkn watu wana viburi sana kufuata sheria za Mungu.Ustaadhi kahtaan umenifurahisha sana.wagalatia huwa tunajisahau sana. Na ukiwaeleza ukweli kama huu wanapinga.ila kwa kuwa umefanya qoutations.hakuna atakayetia mguu hapa
Karibu. I respect your point of view but sio mahali pake. Huwezi kumpangia kila mtu kama u don't do alcohols that's you but wapo wanaopenda n ndio maana kuna viwanda vya bia.so ustaadh thank u very much butTunajaribu kuwakumbusha watu kuwa sio waislamu tu waliokataza huo Ulevi bali hatta Bibilia imekata katakata lkn watu wana viburi sana kufuata sheria za Mungu.
Huyu bado anasema eti "wakati huu mzuri wa Sikukuu".
Hio sukukuu yenyewe Kwenye Andiko Haimo!
Hapo sasa.
Km kuna sehemu Imeandikwa ktk Biblia Christmas ni tarehe 25/12 na mimi wananibatiza kesho. Tena bila maji.
sidhani kama kweli wewe ni Mkristo. Maana lugha hiyo tulioamini ILE KWELI tunajua na tuwajua wanaoitumia lugha hiyo ya dhihaka.Ustaadhi kahtaan umenifurahisha sana.wagalatia huwa tunajisahau sana. Na ukiwaeleza ukweli kama huu wanapinga.ila kwa kuwa umefanya qoutations.hakuna atakayetia mguu hapa
Kumbe wagalatia ni WAKRISTO eti?sidhani kama kweli wewe ni Mkristo. Maana lugha hiyo tulioamini ILE KWELI tunajua na tuwajua wanaoitumia lugha hiyo ya dhihaka.
wine ya Veyula- (Dodoma) siyo wine aina ya Veyula. Veyula ni mahali inapotengezwa wine hiyo. Kondoa road few kms from Dom town.
AhsantaUzinzi na divai, na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.(Hosea 4:11)
Ole wa taji ya kiburi ya walevi wa Efraim na ua la uzuri wa fahari yake linalonyauka, lililo kichwani mwa bonde-linalostawi la hao walioshindwa na divai! (Isaya 28:1).
Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu huchanganya vileo, wampao haki-mwenye uovu ili wapewe ijara na kumwondolea mwenye haki haki yake. (Isaya 5;22-23).
Ole wao waamkao asubuhi na mapema, wapate kufuata kileo, wakishinda-sanahata usiku wa manane mpaka-mvinyo imewaka kama moto ndani-yao! Na kinubi, na zeze na matari na filimbi, na mvinyo zote ziko katika-karamu zao lakini hawaangalii kazi ya Bwana wala kuyafikiri matendo ya mikono yake. (Isaya 5:11-12
Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu, litiapo bilauri rangi yake ishukapo taratibu; mwisho wake huuma-kama-nyoka; Huchoma kama fi.ra. Macho yako yatakuwa mambo mageni; na moyo wako utatoa yaliyopotoka,Naam, utakuwa-kama-alalaye katikati ya bahari; Au kama yeye asinziaye juu ya mlingoti.-
Utasema,wamenichapa wala sikuumia, wamenipiga wala sina habari, Nitaamka lini, nitazidi kuitafuta tena.(Mithali 23:31-35).
Wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia, huota ndoto, hulala, hupenda usingizi. Naam, mbwa hao wana choyo-sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno, wote pia wamegeuka-upande, wazifuate njia zao wenyewe kila mmoja kwa faida yake toka pande zote. Husema, njooni nitaleta divai,na tunywe-sana-kileo na kesho itakuwa lama leo sikukuu kupita kiasi
.(Isaya 56:10-12).
Wote wanaowaita watu ktk UKEVI Andiko limewaita ni.MBWA
ACha tabia mbaya mara moja.
Hakuna sehemu nimepangia mtu mkuu.Karibu. I respect your point of view but sio mahali pake. Huwezi kumpangia kila mtu kama u don't do alcohols that's you but wapo wanaopenda n ndio maana kuna viwanda vya bia.so ustaadh thank u very much but
Tunajaribu kuwakumbusha watu kuwa sio waislamu tu waliokataza huo Ulevi bali hatta Bibilia imekata katakata lkn watu wana viburi sana kufuata sheria za Mungu.
Huyu bado anasema eti "wakati huu mzuri wa Sikukuu".
Hio sukukuu yenyewe Kwenye Andiko Haimo!
Hapo sasa.
Km kuna sehemu Imeandikwa ktk Biblia Christmas ni tarehe 25/12 na mimi wananibatiza kesho. Tena bila maji.
Kwa wanohitaji wine a in a ya veyula kutoka dodoma ni 7500 kipindi cha sikukuu.. Wani WhatsApp kwa number 0716376587 au wapige number 0672818879
Kipindi cha sikukuu ipi mkuu?Duh pole Sana. Angalia juu Kama kuna sehem nimeandika "wakati huu mzuri was sikukuu" i said kipindi cha sikukuu.. Halafu Kama haupo interested we pita tu mwaya isije ukalala vibaya ustadhi.