windows yangu inasumbua na hii message YOU MAY BE VICTIM OF SOFTWARE COUNTERFEITING

sayicom

Member
Jul 2, 2011
66
1
windows yangu ni WINDOWS XP PROFFESIONAL SP3 KUNA SMS INASEMA *YOU MAY BE VICTIM OF SOFTWARE COUNTERFEITING* THIS COPY OF WINDOWS DID NOT PASS GENUINE WINDOWS VALIDATTION
MSAADA JAMANI NIFANYE NINI NIEPUKANE NA HILI TATIZO?
 
Kuna options kadhaa. 1. Tumia genuine windows. 2. Ongea na aliyekufanyia setup/aliyekupa cd. 3. Tafuta activator iondoe hiyo kitu.
 
download xp spack3 activetor then utai run hiyo program mambo yatakua ok
 
Nimejaribu ku upload hapa,ila network inasumbua.
Anyway,jaribu kudownload hizi torrent files zitakusaidia kumaliza tatizo lako.
 
Kwa kweli mungu awalinde watu wa JF nimekuwa na tatizo hili kwenye laptop yangu toka nimetoka dukani hii ni week ya pili nadhani waliniwekea window fake nikawa napata sms kama ya mdau hapo juu na screen ikawa nyeusi kabisa na kila baada ya nusu saa pc injirestart! nimejaribu hii link nimefanikiwa na message imepotea! mungu akubariki mkuu nipe hata number yako ya voda nikutumie hapa pesa ya soda umenisaidia sana!!!!!!!!!!!!!!!!
GOD BLESS.
 
Mkuu nashukuru kwa feedback. Hiyo tu inatosha,sistahili hela ya soda kwani hata mimi nimekuwa nikisaidiwa humu na watu wengine free of charge.

Ubarikiwe sana boss.
 
Nimekuelewa mkuu! idumu jf. ASANTE SANA
 
Back
Top Bottom