sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
nina simu ina menyu ya kiswahili lugha yake ni ngumu mno.sasa ya pc si ndio nitadelete mafile kabisa?
ni kweli kuna simu (hasa hivi vi nokia tochi flani hivi) vina lugha ya kiswahili...ila iko poa tu..kwenye ngamizi (pc) sasa ndo mapaka raha..utadeleteje..kwani kiswahili hujui..!??nina simu ina menyu ya kiswahili lugha yake ni ngumu mno.sasa ya pc si ndio nitadelete mafile kabisa?
Hii lugha yetu ya Tanganyika katika TEKNOHAMA inakuwa ngumu.
unajua kuna watu hawajua hata kingereza cha kuombea maji lakni wanaijua computer kila kona.. Kuna mtoto mmoja yuko darasa la 2 ila mpe computer! Mazoea nayo yanachangia..
hi mimi nilishawahi kuiweka miaka 4 iliyopita kwenye PC. desktop yangu Marafiki zangu wakalalamika niondoe kabisa nikaiondowa walikuwa wanasema lugha yetu ya kiswahili kwaHaya tena wadau, kwa wale ambao bado hawajabahatika kupata Kiolesura Fungasha Kiswahili cha Windows® XP (language pack) leo nakileta mbele yenu..(kwa watakaopenda) ..Kiolesura Fungasha Kiswahili cha Windows® XP hiki kinabadilisha lugha ya komputa yako (achana na faili za program ulizoingiza/install mwenyewe) yenyewe inabadilisha lugha ya sistimu yako tu (windows). Kumbuka hii ni tofauti na njia ile inayotumika na wengi ya ku rename sehemu mbalimbali za koputa yako...hii ni sawa na wale wanaotumia komputa zao kwa lugha zingine kama kijerumani, ki arabu na nyinginezo..angalia mfano wa picha (screenshot) nilizochukua baada ya kubadili lugha kwenye pc yangu):
View attachment 42883View attachment 42885View attachment 42888
ili kupata Kiolesura hiki gonga hapa : Lugha gongana
(wakati wa kudabiri /install utahitajika uwe na cd ya windows XP maana ili ubadili lugha ni lazima sistimu ichukua baadhi ya mafaili ya windows xp kutoka kwenye cd)
endapo utahitaji kubadili lugha tena kurudi kingereza unafuata utaratibu wa kawaida tu wa kubadili lugha kupitia panel dhibiti(control panel).
kwa maelezo zaidi : Maelezo ya upakuaji: Kiolesura Fungasha Kiswahili
this is serious man..ni mtoto wa shem wangu..anasoma la pili (next year la tatu)..actually shem an desktop na laptop home so dogo amekuwa akicheza nazo tangu akiwa mdogo kabisa bt kadri anavyokuwa ndo anazidi kuijua, mara nyingi shem huwa anampa vi kazi vidogovidogo vya ku type na dogo anawasha mwenyewe laptop, anatype ingawa ni kwa kudonoa(nakiri kuwa hajui mambo ya formatting hii anafanya marekebisho shem mwenyewe) na kusave akimaliza, anajua kufungua picha, muziki au kutizama CD/DVD zake za watoto kwa kutumia pc..hapo bado mambo ya games humtoi..so kwa level yake (ambayo hata hiko kingereza bado hakijui kivile ) lakini kuifaham pc hivyo ni nadra sana kwa wasiojua kabisa kingereza..na si kweli kuwa kila anaefahamu kuburn DVD basi ndo anaijui computer vizuri mkuu..huyo dogo atakuwa ni jini! hakuna miujiza ya nmna hiyo! unataka kuniambia anaweza na kuburn DVD? haaaaaaaaaaa1 patachimbika aiseeeeeeeeeeee!