nataka kusoma windows server 2012. naomba kitabu kizur cha kusoma pamoja na practical zake.
Pia nauliza kuna simulation yeyote ya kutumia kama sehemu ya practical? kama ipo naomba nijue namna ya kupata. Nasoma network engineering
Natamani sana kuangalia movie za philipino zilizokuwa zime/narushwa na star tv nikiwa mapumziko. Sasa naomba free site na namna ya kuzi download ili nizopate. Nawaombeni sana mnisaidie namna ya kuzipata on line. Plzzzzzzzz and plzzzz!!