Windows 8!

Linux is best ever os in my time!!tena juzi tu nimeweza ku-boot frm pendrive...dah hadi raha!!
 
Linux is best ever os in my time!!tena juzi tu nimeweza ku-boot frm pendrive...dah hadi raha!!
jaribu mac Os utajuta kwanini unatumia os nyingine yeyote dunia hii na lion os ya mac inakuja mwezi wa saba.
 
We Pentium 3 or AMD corresponding ndo haaao wanawachwa--Ukiendekeza Microsoft-itakua kila siku wewe ni mtu wa kubadili windows muda wote bila kujua PC hiyo imekufaidisha nini.LOL-Win7 siitaki hata kuiona wachilia mbali Win8: winXP +UBuntu ndio mpango mzima katika PC yangu.
 
Bro Labda ubishe tu ilimladi na wewe umebisha!! first u have to understand the linux system halafu ndio ubishe....So far No virus and always no virus. labda kama umegundua wewe bro huyo virut
Sidhani kama ubuntu haiwezi kupata virus. Ni kwamba dark hackers wana concentrate zaidi na windows.
 
mh!! achana na hao wazinguaji tu. Window 8 bado haijatoka hata kwenye torrent files...hizo ni xp au other window sema wanaongeza vitu vya kuvutia kama wallpaper na tweaks. kiukweli HAKUNA ANAYEJUA KAMA ITAITWA WINDOW 8 au lah hatajina halijatolewa
You can download win8 transformation pack here->By GIVENALITY
 
Back
Top Bottom