Windows 8 GIF Progress bar Inahitajika

Nyasiro

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,201
Reaction score
551
Nahitaji GIF progress bar kama inayotumika kwenye Windows 8



* Iwe inaenda kama ile ya Windows (yani jinsi dot zinavyoachana na kukimbilia nyingine)
* Animation speed iwe ya kawaida
* Background iwe transparent na
* Dots ziwepo katika rangi mbalimbali (nyeusi, nyeupe, blue, red etc)

Naomba kama kuna mtu anaweza anifanyie hiyo kitu bure au kama anataka pesa tuelewane

Nakala kwa wadau wote wa graphics.
 

hebu ngoja waje wataalam wa graphics wakishindwa tunaipiga na photoscape tutatoka tu
 
naona kimya labda wadau wamelala! ngoja na mimi nipumzike inshaalah nitapata majibu wakija hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…