Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Mkuu ushaitumia hii kituhapo sjajua mkuu nna mpango niidownload leo
Mkuu ushaitumia hii kituhapo sjajua mkuu nna mpango niidownload leo
Mkuu, nimeishusha lakini baada ya kuburn na kuboot haikubuti, nilipo washa pc ukitaka kufungua installation inagoma. Inaonesha kuna file halipo. Sijajui wengine vp?
Mkuu ushaitumia hii kitu
mkuu link ya mshihiri si windows ni file ambalo unahitaji kuliinstall kwenye pc then uende window store ukadownload then ufanye upgrade. njia hii ni nzuri kama una bandwitch ya kutosha
Mkuu chief- mkwawa msaada tafadhari, window store ipo ktk window 8 tu? Kama sio je tusiotumia window 8 tutaipataje?
scroll juu kuna link ya iso nimetoa
Pamoja sana, ndio naipakua sasa.
pC yangu ina spec zifuatazo:-Mkuu ushaitumia hii kitu
Mkuu SPYMATE Hebu jaribu ku install Operating System: Windows 8 Enterprise 32-bit (6.2, Build 9200) huenda ikakubali.pC yangu ina spec zifuatazo:-
Processor: Intel(R) Pentium(R) 4 CPU 3.00GHz (2 CPUs), ~3.0GHz
Memory: 4096MB RAM
Card name: Intel(R) G41 Express Chipset
Hdd: 300GB
DirectX Version: DirectX 11
Operating System: Windows 8 Enterprise 64-bit (6.2, Build 9200)
Nimejaribu hiyo 8.1 PREVIEW inaniletea error hii "PROCESSOR DOESN'T SUPPORT PREFETCHW"
CC chief-mkwawa C6 MziziMkavu Kimox Kimokole mshihiri
pC yangu ina spec zifuatazo:-

kuwekea pentium 4 machine windows 8 tena 64bit ni kuionea, hata windows 7 ina run kwa kulazimisha. mi nakushauri baki na iyo iliyopo au kama unaweza upgrade bana nunua machine yenye core 2 duo angalau sio pentium 4
Habari zenu waheshimiwa, naomba msaada ninatumia windows 7 professional nina computer 2 desktop na printer 1 hp laserjet 1320 sasa nataka kutumia printer 1 kwa pc zote mbili bila kuhamisha hamisha USB cable Naomba msaada
Dah we jamaa noma kweli unajiswali na kujijibu mwenyewe duuh!!!Share with netwok uwe na d link swtch. Tumia utp cable cat 5e au 6. Then chomeka computer zote kwa hyo swtch. Go to Prnter and fax clck add printer chagua network prnta fuata maelezo. Whle hyo prnter iko conncted kwenye computer moja.kama hutaona jinj la hyo printer, make sure unabrowse jina la hyo comp via netwok mfano hp100
On admin pc. Then clck next had mwsho print test page finsh
Kaka motherboard ni ASRock inasupport RAM had 8GB na processor 2duo core sema wakati wa kuassembly sikupata processor ya 2duo dukani maana ni meiassembly mwenyewe.
Mhhhh.... natamani kujua jinsi ya ku-assemble hizi vitu pamoja na limitation zake ndo inakuaje hapa?
Natumia Windows 8, processor Pentium 4 RAM 4GB 640GB HDD na inafanya kazi vizuri zaidi ya wakati nilipokuwa na windows 7/XP.kuwekea pentium 4 machine windows 8 tena 64bit ni kuionea, hata windows 7 ina run kwa kulazimisha. mi nakushauri baki na iyo iliyopo au kama unaweza upgrade bana nunua machine yenye core 2 duo angalau sio pentium 4