Windows 8.1 na KASP antivirus

nasnee

Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
37
Reaction score
4
Msaada.. nimeweka windows mpya windows 8.1 lakini niki install antivirus ya kaspersky 2014 inagoma help plzz
 
Msaada.. nimeweka windows mpya windows 8.1 lakini niki install antivirus ya kaspersky 2014 inagoma help plzz

usitumie set up ya cd uliyonunua, nenda kwenye website download free setup (iwe ya mwaka 2014) then install ukimaliza tumia registration keys ulizonunua (ambazo zinaambatana na cd) alafu ziweke!! hii inatokana na kwamba at a time walivyokua wametoa kaspersky 2014 windows 8 na 8.1 zilikua bado hazijatolewa na ndio maana zinasumbua kwenye instalation.
Kaspersky Anti-Virus Free Trial Download | Kaspersky Lab US
 
Kama hauwezi kwenda kwenye internet, ingia kwenye unstal/ install program. Then chagua add features kisha weka tik kwenye dot net framework 3.... na 4...

Hapo utaweza install bila tabu
 
Window 8.1 ina antvirus yake ambayo ni pre installed. MSE type. Ni nzuri sana. Ikikataa KIS usisumbuke pc yako iko salama provided una update
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…