Windows 8.1 Final yaleak

Mtu yeyote ambae ameisha itumia aseme na vp kwenye kuUPDATE?
 
Aliyeanza kutumia hii window atuambie iko vipi Poa au majanga.
 
Kwa aliye-activate Hii Windows Blue naombeni msaada wakui-activate

Mkuu mbona me nshaactivate kitamboo? Activate kwa phone me ndo nlifanikiwa (kwa skype). Maelezo yake yapo kwnye most of the torrents za win 8.1. Au ka vipi ntaattach izo instructions. Sina uhakika kama bado inafanya kazi coz niliactivate siku za mwaaanzo ilipoleak. Pia kuna njia nyingine ya kuedit registry but sisikii watu wakiingolea saana. Otherwise subiri KMS V6 uactivate kiulainii bila jasho mkuu..
 
uki kagua pastebin.com vizuri utafanikiwa ku activate.
 
Wakuu Leo Nme Install Hii Windows 8.1 ila nnaweza Activate vp??? C6 chief-mkwawa leh Frank G NingaR Mwl.RCT

una activate kwa simu ila mi nna mashaka bado sababu hii ni update tu ya win 8.

kua activate kwa simu unakua na key yako unaieka ile sehemu ya ku activate then kuna namba ya skype unapiga halafu utaambiwa ueke ile ile key ku activate.

mi sijawah fanya lakini kwa feedback ya sehemu wanazofanya ni kwamba hizo key ni adimu maana nyingi zishafikia limit ya kutumika.

unaweza subiria subiria maana official w8.1 imetoka wiki hii wiki ijayo nafkiri activator itakua ishapatikana
 
Last edited by a moderator:
mkuu hii window nlipo install nlisahau ku close updates.... imejiupdate ila ndo sehemu ya ku activare kwa simu imepoteaa
 
mkuu hii window nlipo install nlisahau ku close updates.... imejiupdate ila ndo sehemu ya ku activare kwa simu imepoteaaView attachment 117597

kaka still ujue mambo hayaeleweki ungekua na win 8 uka update 8.1 ni free kabisa, 8.1 haijaekwa iwe activated sababu ni update tu.

mfano wake ni mtu awe na simu ya ice cream sandwith then anapate update ya jelly bean ni bure kabisa.

pitia pitia torrent unaweza pata sollution
 

mkuu hapo kwenye red naomba ufafanuzi... ni kamasijaelewa vile
 
Wakuu Leo Nme Install Hii Windows 8.1 ila nnaweza Activate vp??? C6 chief-mkwawa leh Frank G NingaR Mwl.RCT

keys
Windows 8 Pro/Enterprise Online/offline Activation VL MAK Key

WB83N-4QMVK-BDT8K-M8QFW-XWXVC (4000+ online activation left)



Windows 8.1 RTM Pro Offline Activation RETAIL Keys

YQFPJ-XN3K6-HQQDF-QCKHW-CPKT7 [Windows 8 Pro Retail Key for 8 n 8.1]
WY7FN-4K339-J3XXJ-BJ44K-8QG67 [Windows 8 Pro Retail Key for 8 n 8.1]



Windows 8/8.1 RTM CORE Edition Offline Activation RETAIL Keys

27CKQ-6JNDK-FKCJV-97FCG-GMQG3
hii ndio iliyokubali kwangu.

Windows 8.1 RTM Pro WMC Offline Activation RETAIL Keys
P4R4D-JQGN2-BJMQ9-CV2BY-92BRQ
V9DBK-T8Y2W-CN328-D24TF-KBQJD

utaratibu wote step kwa step utaupata katika hii pdf
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=115187&d=1380963653

Mimi nimefanikiwa.
 
Last edited by a moderator:
mkuu hapo kwenye red naomba ufafanuzi... ni kamasijaelewa vile

kama ulinunua windows 8 au computer yako imekuja na windows 8 then windows 8.1 ni buree,

just nenda store utaikuta download kisha install.

imetolewa kwa muda store ila itarudishwa soon
 
Wakuu hii kitu haijawaomba key? Nimefika sehemu nikaambiwa niweke key.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…