Windows 11

Windows 11

Snrmoudy

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2016
Posts
285
Reaction score
177
wataalam wa IT, hivi naweza weka window 11 kwenye hp elitebook g3 i7 touch screen 256ssd 8Ram kwa ku bypass na nikaweza pata updates pale itakapo leta new update?

(Nb. TPM 1.2)
 
wataalam wa IT...Hivi naweza weka window 11 kwenye hp elitebook g3 i7 touch screen 256ssd 8Ram kwa ku bypass na nikaweza pata updates pale itakapo leta new update?

(Nb. TPM 1.2)

Yes, unaweza. Ila hiyo mashine ni generation ya ngapi? Kama haijafika gen ya 6 si bora ubakie na 10 tu uinjoi vizuri
 
Hata kama utaweza hakuna Guarantee kwamba baadae hawatakupiga pini.
 
wataalam wa IT, hivi naweza weka window 11 kwenye hp elitebook g3 i7 touch screen 256ssd 8Ram kwa ku bypass na nikaweza pata updates pale itakapo leta new update?

(Nb. TPM 1.2)
Nilitumia njia hyo ila badae walinipiga pini. Nikajirudisha kwa 10
 
Back
Top Bottom