Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,073
- 43,522
andika tu store neno rss zitatokea nyingi download moja inaitwa simpirss then ukitembelea website ukiona neno rss copy link yake halafu kapaste kwenye hio app yako.Mkwawa naiwekaje hiyo rss reader nani niweze fanya mambo Kama hayo kwani naingia store haipo au nipe link niidownload moja kwa moja Na nijue ninicha kufanya
Nimeipata ila sasa mfano nataka kupatana rss ya muungwana nafanyaje manake umekua mtihani piaandika tu store neno rss zitatokea nyingi download moja inaitwa simpirss then ukitembelea website ukiona neno rss copy link yake halafu kapaste kwenye hio app yako.
Sijawahi kuipenda GUI ya windows hata siku moja!Kweli beauty is perception, hiyo UI naiona mbaya utadhani imekua designed na mtoto
Kwenye android 6 app permission imemaliza kila kitu, sasa hivi kidogo kila app unaipa permission ya kuaccess unachotaka kabla ya kutumia, bahati mbaya JF app imeshindwa kuupload screen shot za Google Chromemkuu android na security ni kama kujaza maji kwenye gunia au pakacha kila unapoziba kwengine kuna tundu.
blackberry priv kabla haijatoka app zake xda walioipata simu mwanzo walizi exract watu kibao wanazo. unafikiri wamewezaje kuzi extract? inamaana wamegain uwezo wa kucheza na system files tayari ni useless. hao blackphone watu walibypass security pale pale kwenye uzinduzi wa simu wala usiwataje na knox chainfire kila siku anaidisable.
chukulia mfano mdogo simu zote hizo zinatumia browser gani? ni hizi hizi za kina chrome browser yenye permission zote? browser inatumia mic, camera na vitu ambavyo dhahiri inaonesha inakuspy. sidhani kama it mwenye akili ataipa management au ceo wake simu yenye hatari ya kuspy kama hio.
Kwenye android 6 app permission imemaliza kila kitu, sasa hivi kidogo kila app unaipa permission ya kuaccess unachotaka kabla ya kutumia, bahati mbaya JF app imeshindwa kuupload screen shot za Google Chrome
yeah zipo Mimi ninayo ya made Ni in hongkong nimenunua kwa mtandao www.taobao.com almost 3000¥ now nadhani around 1700¥ ila Kuna nyengine Ni fake.lumia 1520 bado zipo kweli? au mpaka amazon/ebay? vipi bei yaweza kuwa kama sh.ngapi vile?
shukrani.
mpaka mwenye website atoe rss feed yake, muombe kama hajaekaNimeipata ila sasa mfano nataka kupatana rss ya muungwana nafanyaje manake umekua mtihani pia
Chief-Mkwawa naulizia app ya VPN kwa windows phone nimejaribu nyingi zimegoma anh idea?
kitu nimeangalia hadi app nyingine zimenyimwa permission ya kuaccess kitu , na sasa hivi wameniletea update ya 6.0.1 ambayo wamefix bugs za security, nikipata pc ya kuweka screen shot nitakuwekea mkuu, ndo kilichonifanya nirudi android kwa sasangapi unaweza kuzicontrol? feedback ni muhimu.
na kama nilivyosema matundu ni mengi kama pakacha kuna vitu vingi sana, juzi nasoma gsmarena kuna malware wanaexploit soc kama mediatek na kujipa root acess (hata kama hujaroot simu) na kujieka kama system file.
angalia hapa jukwaani wangapi wanalaalmikia matangazo kama monkeytest na wengineo? na ukitrace hizi app zote ni system files zimefikaje huko?
Yeah kweli sasa hivi security imekuwa improved mno hadi raha tena nimefurahiya tunapata monthly Security patches na permissions ambazo tunaweza nyima ni kama hizi.kitu nimeangalia hadi app nyingine zimenyimwa permission ya kuaccess kitu , na sasa hivi wameniletea update ya 6.0.1 ambayo wamefix bugs za security, nikipata pc ya kuweka screen shot nitakuwekea mkuu, ndo kilichonifanya nirudi android kwa sasa
unaweza kubadili permission ya app zinazokuja na simu?Yeah kweli sasa hivi security imekuwa improved mno hadi raha tena nimefurahiya tunapata monthly Security patches na permissions ambazo tunaweza nyima ni kama hizi.
Karibia zote unawezaunaweza kubadili permission ya app zinazokuja na simu?
duh kwakweli kuna improvement.Karibia zote unaweza
duh kwakweli kuna improvement.
windows watafute/watengeneze muonekano mzuri zaidi ya huu wa sasa wasi relay kwenye jambo moja tu la security wenzao iphone wan security lakini pia muonekano haupishani sana na android...
hahhahaha sawa mkuu.Hii view ya sasa ya windows phone ndiyo ID yake na ndo uniqueness yake. Sisi users wa windows inatuvutia. Haina haja ya kucopy ama kutoa view yenye mfanano na iOs ama Android. View yake kwa sasa ni superb.
Usisahau kuwa kila biashara ina mteja wake.
Yap unaweza kuzinyima, mfano htc one A9 nimeinunua ikiwa na pre installed apps mfano Google Chrome ambayo ilikuwa imejipa permission za kuaccess contacts, camera, location na vitu kibao lakini nimezima imebaki location peke yakeunaweza kubadili permission ya app zinazokuja na simu?
ios wana launcher tu ya apps ukitoa setting na homescreen kuna nini cha ziada?duh kwakweli kuna improvement.
windows watafute/watengeneze muonekano mzuri zaidi ya huu wa sasa wasi relay kwenye jambo moja tu la security wenzao iphone wan security lakini pia muonekano haupishani sana na android...
Karibia zote unaweza
Mkuu ipi ni nzuri kati ya Windows Insider na Preview for Developer,nataka nitumie mojawapo ili nipate Window 10 kwenye simu yangu,Zote mbili nishajisajilisio mbaya hatua nzuri kwenda mbele,