Windows 10 mobile is officialy out

Android oyee winndow labda huko badae ila sa hv ngoja tule maisha huku
 
haina haja ya kusearch for updates!!! weka tiki pale kwenye automatic update then itakujulisha na kujiupdate yenyewe mwishon mwa mwezi wa tatu (march)
 
eti...unauifaham app ya 1 BOX!!!! ni ya windows phone!

huna haja ya kujaza HDD na Computer yako tena,
Angalia online SERIES,LATEST MOVIES na MUSIC.
So amaizing unachohitaji ni bundle lako tu.
any series any movie!!
kama hauna hii basi hauna simu ya windows.
inapatikana kwenye store pia
 
Ina muonekano mzuri kama screenshots nilizochukua katika lumia 535 yangu zinavyoonesha hapa chini.














But still haina option ya kulock network.

Ndugu asante kwa taarifa wacha na mimi nifanye makeke.... Back soon
 
Mbona nikiCheck for update inasema Phone is up to date? How did you do it?
 

Attachments

  • wp_ss_20160310_0001.png
    15.2 KB · Views: 32
Ina muonekano mzuri kama screenshots nilizochukua katika lumia 535 yangu zinavyoonesha hapa chini.














But still haina option ya kulock network.

mkuu update tena,kuna update kama mbili hizi zinakusubiri?yangu ni kama inavyoonekana kwa photo
NB: Official update ya window 10 mobile bado haijatoka.
 

Attachments

  • wp_ss_20160311_0003.png
    15.9 KB · Views: 34
Na je kuhusu hizo update to windows 10 zitakuwa ni kwa cm zote. Mimi natumia lumia 1520 ila nimecheck update sijaiona.
lumia 1520 bado zipo kweli? au mpaka amazon/ebay? vipi bei yaweza kuwa kama sh.ngapi vile?

shukrani.
 
Umeshawahi tumia simu za windows phone.?, Nini Kizuri ukionacho wewe katika android ambacho kinaizidi Windows phone.?
Hivi mfano mie natumia m paper app na millard ayo app Kwenye windows hizo app zipo
 
Hivi mfano mie natumia m paper app na millard ayo app Kwenye windows hizo app zipo
hiyo app mfano ya millard ayo ina utofauti gani na mobile site ya millars ayo? kama ni sawa kwenye wp unaweza pin website kwenye homescreen
 
App hazipo, na Ndio weakness za windows ilipo
nimekuuliza swali hapo juu hujanijibu.

hakuna mtu duniani anaeeka app milioni 1 kwenye simu kila mtu ana app zake anazotumia cha muhimu simu itimize mahitaji.
 
Mashindano ya kampuni tofauti hatimaye sisi watumiaj tunafaidika, ,fikiria ingekuwa windows Ndio os pekee kungekuwa na ukiritimba wa ajabu
 
nimekuuliza swali hapo juu hujanijibu.

hakuna mtu duniani anaeeka app milioni 1 kwenye simu kila mtu ana app zake anazotumia cha muhimu simu itimize mahitaji.
Napata mf notification, we ni kama anayeuliza tofauti ya fb app na yule anayetumia browser
 
Napata mf notification, we ni kama anayeuliza tofauti ya fb app na yule anayetumia browser
simple download rss reader utapata app ya ukweli utasoma magazeti utaongia millard ayo nk

karibu website zote zina rss feed add url zake kwenye reader yako vitu vyote utapata



hapa nimeadd rss ya bbc swahili naweza add ya raia mwema, na magazeti mengine nikapata habari.
 
Mkwawa naiwekaje hiyo rss reader nani niweze fanya mambo Kama hayo kwani naingia store haipo au nipe link niidownload moja kwa moja Na nijue ninicha kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…