Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,411
- 3,203
Win 7 kushuka chiniSawa je nikiweka 8 itafaa kwa matumizi yangu ya kawaida tu ya JF, blogger nk?
Win 7 kushuka chiniSawa je nikiweka 8 itafaa kwa matumizi yangu ya kawaida tu ya JF, blogger nk?
Usibishane unaonekana kilazaNina duo core desktop na ninatumia windows 11 ndugu tena vzr tu, nilihama windows 10 juz tu
Windows 11 haiingii kwenye hiyo mashine wewe uliupgrade so umepata environment za win 11 ila hautumii win 11Nina duo core desktop na ninatumia windows 11 ndugu tena vzr tu, nilihama windows 10 juz tu
Mimi sio mtaalam kabisa wa makompyuta,nimeanza ivo boss sasa kama kuna msaada unaweza kunipa.Duo unaweka win10???
kama hiyo yangu naweza weka wndows 8 ikakubali?Windows 11 haiingii kwenye hiyo mashine wewe uliupgrade so umepata environment za win 11 ila hautumii win 11
Inaingia mchawi harddisk plus RAM hayo mengine niachie MimiAngalia recomended os kwenye computer yako
7 XP zilishapitwa na wakati akipigiwa 8 au 10 ya mchongo anatumia safiWin 7 kushuka chini
Unatakiwa uangalie wapiAngalia recomended os kwenye computer yako
inapatikanaje hiyo ya mchongo?7 XP zilishapitwa na wakati akipigiwa 8 au 10 ya mchongo anatumia safi
Wewe upo sahihi kuna utofauti wa mtu mwenye ujuzi wa vitendo na mwingine mwenye ujuzi wa kwenye makaratasi yenye A B+ B C sasa mpe mtambo pale aushughulikie hajui kitu Mambo yameishia kwenye makaratasiNina duo core desktop na ninatumia windows 11 ndugu tena vzr tu, nilihama windows 10 juz tu
Pirates Bayinapatikanaje hiyo ya mchongo?
Piga chini weka hata Linux Mint usiumize kichwa sanaNi genuine, sasa unanishauri vipi mkuu wangu, hii 7 naona haifai tena
Unajifanya mjuaaaji. Kumbe Bure.Piga chini weka hata Linux Mint usiumize kichwa sana