MAKOLE
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 620
- 282
Nimepata mshtuko wa kuondokewa na kipenzi window Xp, naipenda sana kwani ni nzuri kwa wajifunzao Kompyuta. Tarehe 8 mwezi wa nne mwaka 2014 ilikuwa ni mwisho wa Microsoft kuendelea kuisupport windo hii baada ya kuizindua hapo Oktoba 2001. Poleni sana watumiaji wenzangu wa Window hii na karibu sana enzi mpya ya window 8.
Windows XP is dead. Long live Windows 8 - Telegraph.
Windows XP is dead. Long live Windows 8 - Telegraph.