watastop kutoa support na sio kufunga os hawana ubavu huo.
-itakua microsoft wakiulizwa maswali kuhusu window xp hawajibu (watanzania maswali ya xp hawaulizi web ya microsoft)
-hawatatoa updates (wabongo wana update ant virus tu)
-software za xp zitastopishwa kutengenezwa (watanzania hadi leo wanacheza game za 98 )
-watatoa elimu watu wahamie vista na windows 7 na 8 (elimu haitawafkia watz na ikiwafkia hawataiskiliza)
-computer mpya hazitasuport xp (wabongo wanatumia used hawanunui vipya)
-watablock all ways (torrent na crack zipo za kumwaga)
Sidhan kama ita affect bongo