hivi wadau window 8 ishatoka au bado maana nareceive alot of messages nakuona advertises zake sehemu mballimbali au kama bado kwa yeyote anayejua inatoka lini si vibaya pia akituhabarisha.
thanx in advance

Utakayodownload ni preview tu, haitakusaidia sana maana hata mimi ndiyo ninayotumia hapa.
Kuna baadhi ya pc ukiinstall inasumbua kuunga kwenye internet.
Kitu cha ukweli kinatoka kuanzia March, so kama vipi unawezasubiri. Only few weeks left mkuu.