Window 8 keys (msaada)

Window 8 keys (msaada)

Apollo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
4,921
Reaction score
3,249
Habari za kazi ndugu wana JF. Naombeni mnisaidie jinsi ya ku-activate key za Window 8, nimetoka kuiweka sasa hivi kwenye Pc Yangu ila katoka Desktop kuna maandishi " Window 8 Release Preview Built 8400" Ila inaonekana haijawa activated, Je kuna namna au keys ambazo naweza kuzipata ku activate? Natanguliza shukrani.
 
Mkuu hiyo sahau kabisa.
MS W8 this time wamejipanga vizuri sanasana utaweza kucrak lakini hautapata access ya kuingia kwenye store yao.Na kama usipoingia kwenye store huna sababu ya kuwa na W8 maana haitakuwa tofauti sana na W7 labda tu mzunguko mrefu wa kuzima PC yako!!
 
Asante kwa ushauri mkuu, ila bado naamini watajitokeza wajanja tu one day.
 
Mkuu hiyo sahau kabisaa.
utaweza kucrak lakini hautapata access ya kuingia kwenye store yao.

Mi nime crack na naingia kwenye windows store na kudondosha metro apps kiroho safii
thanks to whoever created this La Nano stuff
 
Naomba unielekeze jinsi ya kucrack.
 
Back
Top Bottom