Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Kwani simba na yanga ndizo zinaongoza nchi....maendeleo yatapatika tukiwa wazalendo.....chadema oyeeeee,zambia oyeeeee, twiga stars oyeeeeee.kama mnataka maendeleo acheni habari za yanga na simba.
Hawa ndugu zangu naona wameishiwa kabisha..zamaleki wameshafungua domo kumeza hili kandambili wao wamebakia kutafuta wimbio sijui taarabu gani hata siwaelewi elewi. anzisheni bendi kabisa tujue moja tununue nyimbo zenu ..mnachekesha kweli ha ha ha ha ..
yale yaleeeeeeee ya pinda badala ya kusol;ve ishu muhimu yeye akaanza kumshabulia DR uli....hawa yanga bana wako bize na kutunga nyimbo bwahahahahaha tizoo banaHawa ndugu zangu naona wameishiwa kabisha..zamaleki wameshafungua domo kumeza hili kandambili wao wamebakia kutafuta wimbio sijui taarabu gani hata siwaelewi elewi. anzisheni bendi kabisa tujue moja tununue nyimbo zenu ..mnachekesha kweli ha ha ha ha ..
singo yao lini inatoka..
hahahaha ahanguvumali umenifanya niceke sana aiseSwahili: Alamba! - YouTube
tazama hiyo link hapo wazee wa Yanga wanafanya mazoezi ya kuimba wimbo wa club yao, hahaaaah bora mie shabiki wa JKT Ruvu.
Hawa ndugu zangu naona wameishiwa kabisha..zamaleki wameshafungua domo kumeza hili kandambili wao wamebakia kutafuta wimbio sijui taarabu gani hata siwaelewi elewi. anzisheni bendi kabisa tujue moja tununue nyimbo zenu ..mnachekesha kweli ha ha ha ha ..
hahahaaah wewe cheka tu, ndio mambo yetu hayo, mimi nataka kubadili hobby ya kupenda , maana miaka yangu yoote Yanga ndio ilikua club yangu, tangu aingie Manji pale, mie hamu na liklabu hilo imeisha, watu wanajadili nyimbo na namna ya kuimba/kucheza/kupayuka, wenzetu wako busy na mazoezi.hahahaha ahanguvumali umenifanya niceke sana aise
hahhahah
[video=youtube_share;t1IRwgr9dEE]http://youtu.be/t1IRwgr9dEE[/video]
hahahaaah wewe cheka tu, ndio mambo yetu hayo, mimi nataka kubadili hobby ya kupenda , maana miaka yangu yoote Yanga ndio ilikua club yangu, tangu aingie Manji pale, mie hamu na liklabu hilo imeisha, watu wanajadili nyimbo na namna ya kuimba/kucheza/kupayuka, wenzetu wako busy na mazoezi.
pale pale jangwani.ha ha ha ha! hapa sina mbavu.kweli utani wa jadi ni mbaya sana! sasa hayo mazoezi ya kuimba alamba yalifanyika kwenye ukumbi gani?
Hivi mtu unaweza ukawa unaendelea kuimba tuu huku timu yako inaendelea kuruhusu mabao? Inahitaji moyo sana kuimba siku unapocheza na timu kama Zamalek