Wimbo wa transfer ya lindi na ottu jazz band

Wimbo wa transfer ya lindi na ottu jazz band

aliso

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
32
Reaction score
2
Waungwana kwa wale wanaofanya kazi za kuajiriwa. Nafikiri majungu kazini tumeshakutana nao. Wimbo huu hunikumbusha mbali hasa pale kwa mzee Ngurumo nipo lindi nachapa kazi, hakuna majungu wala masufuria. kwa bahati mbaya nimeshindwa kuupata wimbo huu huku madukani kwetu.
 
Back
Top Bottom