Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
wanaimba kiarabu nini?
Jaman wale ni wapemba,waache wimbo wao uwe na mahadh ya MDUARA
Jaman wale ni wapemba,waache wimbo wao uwe na mahadh ya MDUARA
kwanini zanzibar iwe na wimbo wao wa Taifa tofauti na huu niujuao mimi?
kwani huu wimbo wa mungu ibariki ni wa tanzania bara pekee? mbona mi sielewielewi hapo? mimi nilidhani kwa kuwa tumeungana basi tutakuwa na nyimbo moja na bendera moja,sasa kwa mtindo huu hakuna muungano hapo
upuuzi mtupu! kwani mfanano wa mahadhi una maana yoyote? jiulize hili kwanza.hao south africa na zimbambwe kufanana kwa wimbo wao wa taifa na wetu sisi tunafaidika nao nini?. au una maana gani hasa ya msingi kuanzisha hii thread?.... ni kutaka kuzungumzia ubaguzi huna lolote!! sababu "zanzibar" Wamekukamerooni nini?
Huo utakuwa wimbo wa Taifa au kichen part?
Mbona unafika mbali hivyo kwakubwatuka maneno ya ajabu hivyo umenidhihirishia huna ata chembe ya busara kwani kuuliza ni ujinga?
Hapa sioni mantiki, mnachokijadili hakuna utengemano! Zaini ya kuchokonoa utengano na mafarakano! Sasa chokonoeni nani mkianza kuchokonolewa msije muelekezea kidole chokonoer (mchokonoaji)