Ulivyo ni kama vile tunaimba nyimbo mbili kwa wakati mmoja. Nimeshuhudia mara nyingi watu wakisahau kipande cha pili Na kuishia kuimba kipande cha kwanza tu. Dunia yote ni ndugu zetu, tumeona wachina wakitusaidia kama ndugu zao kujenga TAZARA, vyuo, madaraja. Tumeona wamerikani, wajapan, wakorea, wakanada, wacuba wakitupa hiki Na kile. Lakini tuliona watu wetu wakifukuzwa Msumbiji, South Afrika, Kenya kwasababu mbalimbali hata za kipuuzi. Kama ni hivyo tuubadili wimbo tuimne "Mungu inariki Dunia, wabariki viongozi wake, ........