Ni kweli viongozi wetu ni matapeli. Kama huyu wasasa ndiyo kabisa bomu Tena la kienyeji. Mpaka najiuliza hivi alitoka wapi? Na aliwezaje huko nyuma kushika nyadhifa za juu Angalia ni kiazi kiasi hiki?Mimi nadhani wimbo wetu tukufu wa taifa unafaa kubadilishwa hasa pale panaposema WABARIKI VIO-NGOZI WETU maana haiwezekani tukawa tunawaombea baraka viongozi matapeli, wanyanyasaji na wakandamizaji Kama baadhi ya hawa tulio nao.
Na huwenda haya tunayopitia na kutosikiwa na Mungu huwenda ni sababu ya midomo yetu na baraka tunazowaombea katika wimbo ule.
Huenda Mungu anatushangaa kwamba "aah hawa ni machizi nini mbona wanalia wanaonewa na hao viongozi afu hapohapo wanawaombea baraka kwangu au wanadanganya hawaonewi chochote" Kiufupi matendo ya viongozi wetu yameunajisi wimbo wetu wa taifa.
Yani huenda unakuata kiongozi anawekesha watu chupa za makalio, mwizi, mmakaji, mzurumati, tapeli, jambazi, anua watu huko migodini, anaibia nchi mafuta bandarini, anakwiba fedha za umma, muuwaji, anaibia masikini wake zao, anatia mimba watoto wa shule, jizi la ardhi za watu afu eti unapoimba wimbo wa taifa umuombee baraka. Hiyo no, wimbo ubadirike hapo tufute
Naunga mkono hojaKila mtu ajiombee mwenyewe
We ni faringunda mla anustulWimbo wa taifa waweke beat ya Amapiano au Singeli
Jamii mbovu haiwezi kipuzaa viongozi waadilifu. Aina ya viongozi tulionao ni reflection ya jamii yetu ilivyo. Wabovu sio viongozi tu, bali hata wale wasio viongozi ni wabovu sema kwakuwa sio viongozi hatuwezi kuthibitisha ubovu wao. Ili tupate viongozi waadilifu inabidi tu overhaul mfumo mzima wa jamii yetu. Na hili sio jukumu la viongozi tu , bali jamii nzima ya Tanzania. Rejea kuhusu Swedish jentaloven.Mimi nadhani wimbo wetu tukufu wa taifa unafaa kubadilishwa hasa pale panaposema WABARIKI VIO-NGOZI WETU maana haiwezekani tukawa tunawaombea baraka viongozi matapeli, wanyanyasaji na wakandamizaji Kama baadhi ya hawa tulio nao.
Na huwenda haya tunayopitia na kutosikiwa na Mungu huwenda ni sababu ya midomo yetu na baraka tunazowaombea katika wimbo ule.
Huenda Mungu anatushangaa kwamba "aah hawa ni machizi nini mbona wanalia wanaonewa na hao viongozi afu hapohapo wanawaombea baraka kwangu au wanadanganya hawaonewi chochote" Kiufupi matendo ya viongozi wetu yameunajisi wimbo wetu wa taifa.
Yani huenda unakuata kiongozi anawekesha watu chupa za makalio, mwizi, mmakaji, mzurumati, tapeli, jambazi, anua watu huko migodini, anaibia nchi mafuta bandarini, anakwiba fedha za umma, muuwaji, anaibia masikini wake zao, anatia mimba watoto wa shule, jizi la ardhi za watu afu eti unapoimba wimbo wa taifa umuombee baraka. Hiyo no, wimbo ubadirike hapo tufute
Wanatokea chama gani hawaImagine eti nepi na kipara nao huo wimbo unawatambua.
Madelu na kipara.Teh teh,tunawabariki mpaka viongozi
Wanao wasokomeza wenzao chupa
Mkndddnn [emoji1]
Ova