Wimbo wa Taifa na EA radio

womanizer

Senior Member
Jun 13, 2011
106
20
Angalau mara mbili kila siku, hasa kipindi cha Supermix, lazima wimbo wa Taifa upigwe. Nijuavyo wimbo huu ni kielelezo na heshima kwa Taifa na upigwapo aghalabu hupaswa kuashiria tukio lisilo la kawaida. Inakuwaje EA Radio mnaushushia hadhi?
 
Kwani kuna ubaya gani kuuimba wimbo wa taifa,mbona Kenya unapigwa mpaka vilabu vya pombe.
 
...............Heshima ya viongozi wenyewe imeshuka,sembuse wimbo wa taifa.................

Back
Top Bottom