pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,355
The Kenyan national anthem is a masterpiece, melody and tune A1, words on point and the instrumental priceless. Nakumbuka dunia ilipopagawa na wimbo wa taifa la Kenya kwenye closing ceremony ya Rio Olympics 2016 kule Brazil. Soma comment zao kutoka twitter, kuna wale ambao walilia na kujivunia na hata hawakuwa wakenya. [emoji1] The world fell in love with Kenya’s national anthem and we didn’t noticeI have seen our national anthem is a hit globally.Hata watoto wamarekani na britain hujifunza wimbo huu kwenye choir zao.
Ilhali youtuber mmoja anaitwa J.J. McCullogh amerank ya Tanzania among the wierdest national anthems.
And then listen to Mani (A Kenyan indian) singin our national anthem.
Wakenya hawajui historia ya Mwafrika. Mzungu aliwaondolea kila kitu.Hahahaha tena hao hao SA wanataka kuitwa kama sisi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿😅
Sounds good but not original ....SA and Zambia share the same
This song from Ziggy Marley about Kenya.I don't know if u have seen it.Ni noma piaRoger whittaker my land is kenya. noma sana
Wimbo wenyewe unaitwa Jambo, ni wa Ziggy Marley ft. Angelique Kidjo na umeandikwa na mkenya Samuel Kalonje. I always like the Jamaica-Kenya reggae connection.This song from Ziggy Marley about Kenya.I don't know if u have seen it.Ni noma pia
Wow, I am impressed given that both of them are not Kenyans. Pingli do you know who sang the original song?Wimbo wenyewe unaitwa Jambo, ni wa Ziggy Marley ft. Angelique Kidjo na umeandikwa na mkenya Samuel Kalonje. I always like the Jamaica-Kenya reggae connection.
Them Mushrooms, offcourse.Wow, I am impressed given that both of them are not Kenyans. Pingli do you know who sang the original song?
'Nkosi sikelel iAfrika' wimbo ambao mlichukua 'tune' yake na kuitumia kwenye wimbo wenu wa taifa. Uliandikwa mwaka wa 1897 na Enock Sontoga mxhosa kutoka kule Jo'burg, S.A.Wewe si unyamaze tu ufiche upumbavu wako, Tanzania iliyopata uhuru 1960 ichukue wimbo wa mataifa yaliyopata uhuru 1980s and 1990s?