Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
Kwa aliyeangalia video ya wimbo wa nay wamitego uitwao Mr Nay.
Naomba kujuzwa nini mahusiano ya kumfunga yule yule binti na mnyororo shingoni na ujumbe wa ule wimbo? na pili kuna mahusiano gani kati ya sinki lenye damu, kinyago kile na kumalizia wimbo kwanamba #966 au mwenzetu ndo kashaunga behewa?
Mwenye linki ya huo wimbo atuwekee kwa faida ya wengine.
Kwa kweli mimi sijaelewa kitu hapo.