Wakuu nashukuru kibao cha Maya nimekipata......tuendelee na burudani....kuna mtu mwenye kibao cha
Tulizaliwa sote kilichopigwa na Hamza Kalala atupostie tupate burudani zaidi.....nilikuwa nacho kitambo naona kimepotea!
Pata burudani hapa Ngondo igwa-Hamza Kalala (
MediaFire)