Kwetunikwetu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 1,535
- 418
Mkuu kama unataka kuufarahia wimbo huo ni vema uusikilize wenyewe, uliotungwa na Lutumba ndomanueno Simaro, wenye ndio umepigwa katika uhalisia achana na copy ya mafumu ambayo hata anajaribu kuharibu kiswahili
now ur talking sio kule kushika mkia wa mwakalinga.....Wimbo wenyewe aliotunga Simaro Lutumba na kuimbwa na Carlito Lassa ni huu hapa chini. Huwa unanikumbusha mwaka 1986 kila jumapili saa mchana kulikuwa na kipindi cha mziki na mtangazaji naona alikuwa akiupenda sana maana ulikuwa lazima upigwe.
http://www.youtube.com/watch?v=e9cKkBGleGE&feature=related
Baadaye Marehemu Pepe Kalle alikuwa akauimba tena kwa kushirikiana na Carlito Lassa ambaye siku hizi kawa muimba nyimbo za dini. Wakafyatua Maya nyingine ambayo nayo ni poa sana.
http://www.youtube.com/watch?v=bWztqJIQXaE
Sijui huo wa Bilali ukoje. Itabidi nijitahidi niutafute. Huu wimbo wa Maya, nilisota sana kuutafuta. Ila siku hizi CD yake inapatikana kiurahisi kwenye Internet na hawa waweza kununua nyimbo zake.
Mkuu kama unataka kuufarahia wimbo huo ni vema uusikilize wenyewe, uliotungwa na Lutumba ndomanueno Simaro, wenye ndio umepigwa katika uhalisia achana na copy ya mafumu ambayo hata anajaribu kuharibu kiswahili
Wimbo wenyewe aliotunga Simaro Lutumba na kuimbwa na Carlito Lassa ni huu hapa chini. Huwa unanikumbusha mwaka 1986 kila jumapili saa mchana kulikuwa na kipindi cha mziki na mtangazaji naona alikuwa akiupenda sana maana ulikuwa lazima upigwe.
http://www.youtube.com/watch?v=e9cKkBGleGE&feature=related
Baadaye Marehemu Pepe Kalle alikuwa akauimba tena kwa kushirikiana na Carlito Lassa ambaye siku hizi kawa muimba nyimbo za dini. Wakafyatua Maya nyingine ambayo nayo ni poa sana.
http://www.youtube.com/watch?v=bWztqJIQXaEhttp://www.youtube.com/watch?v=e9cKkBGleGE&feature=related
Sijui huo wa Bilali ukoje. Itabidi nijitahidi niutafute. Huu wimbo wa Maya, nilisota sana kuutafuta. Ila siku hizi CD yake inapatikana kiurahisi kwenye Internet na hawa waweza kununua nyimbo zake.
Wakuu mwenye hicho kibao atupostie tupate burudani kidogo...!
Kwetunikwetu,
Wimbo unaoutafuta ni huu hapa. Sijui kama utaweza kuufungua. Kila la kheri.
http://www.greatlakesmix.com/tztplayer/audio_player.php?p=bongo_flava_21/Maya by Mafumu Bilali.mp3
Hii nimeitoa kwenye ukurasa huu:
http://www.greatlakesmix.com/tztplayer/audio_player.php?p=bongo_flava_21
Poa mkuu, ila hiyo website bom nilishajaribu tangu asubuhi kufungua hakuna hata wimbo mmoja uliopiga.
Inawezekana huna hizi program za JAVA. Mie imepiga bila matatizo. Wasiliana na Invisible anaweza kukuelekeza maana mie uwezo wangu si mkubwa kiasi hicho.
now ur talking sio kule kushika mkia wa mwakalinga.....
Poa mkuu, ila hiyo website bom nilishajaribu tangu asubuhi kufungua hakuna hata wimbo mmoja uliopiga.
Mkuu subiri ni itundike hapa..ushindwe mwenyewe kui-download
Mkuu endelea kusubiri ndio na malizia ku-upload.si unajua speed ya mitandao yetu ya kibongo wimbo wenyewe una 8.5 MB.Poa nasubiri
Mkuu endelea kusubiri ndio na malizia ku-upload.si unajua speed ya mitandao yetu ya kibongo wimbo wenyewe una 8.5 MB.
Dah! hapa nilipo kijasho chembamba kina nitoka.nimejaribu ku-upload kupitia JF imenikatalia.imenibidi kufungua A/C mediafire,nimefanikiwa ku-upload mkuu.uchukue kwenye hii link hapa.http://www.mediafire.com/download.php?oo04tk5yenyPoa mkuu nitaikuta kesho asubuhi, si unajua tena sisi wakazi wa Mbagala usafiri wetu ulivyo mkuu...! tehe tehe...
Dah! hapa nilipo kijasho chembamba kina nitoka.nimejaribu ku-upload kupitia JF imenikatalia.imenibidi kufungua A/C mediafire,nimefanikiwa ku-upload mkuu.uchukue kwenye hii link hapa.http://www.mediafire.com/download.php?oo04tk5yeny
Click start download ili kuupakua alafu subiria kidogo utafunguka then save sehemu unayotaka ukae.....mkuu ukifanikiwa usisahau kibonyeza sehemu ya Thanks! hapo chini.
Nimeuvuta kwa kupitia real player.
Kama una EMAIL basi nitumie nikurushie sasa hivi. Hii program ya real player kama huna ni kuwa zinapatikana kwenye mtandao za bure na za kununua. I hope utakuwa nayo.