Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,382
- 13,194
Tizameni hili zero brain. limeleta tena mada mpya ndani ya mada isiyohusiana... ni ngumu kuzungumza na aina hii ya watu... akikosea ukimsema anakuambia wewe ni mpiga dili... Kiufupi upumbavu ndio umejaa Tanzania. nawapeni pole sana... Bora kuwa mjinga maana baadae utakuja kufahamu ila mpumbavu ni Shida...Msiba uko Wapi sasa nyie ndyo wale mnaoshikilia dhana kwamba marehemu hasemwi
Tena ajaze zingne na za kifo cha bashite kama zipo bila kumsahau sizonje