Wimbo wa Cocacola; Ilove Afrika

Wimbo wa Cocacola; Ilove Afrika

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
Jamani wadau

mwenye link ninayoweza kupata wimbo huo wa zaidi ya watu bilioni sita kuiamini afrika aweke hapa jamani tupate kuudownload maana mi nauzimia sana.
 
hahahahaha mm nli usearch kitambo... Jamaa anaitwa Nucho wi!bo unaitwa i love you africa
Download hapa
 
Tafuta wimbo wa all I need is available in Africa, I love you Africa wa gwiji Steve Kecana wa Uswazi. Si wimbo mpya wala. Huna haja ya kumpa sifa huyo Nuncho aliyekopi na kupaste bali gwiji mwenyewe mwenye wimbo.
 
Back
Top Bottom