Wimbo wa Christian Bella

Wimbo wa Christian Bella

Jongwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2008
Posts
1,040
Reaction score
666
Wakuu natafuta wimbo mmoja wa Christian Bella siujui jina, ila baadhi ya maishairi yake yanasema "wakikununia ipo siku watakupenda, wakikusengenya nyamaza. .nikawaida yao. ." nimetafuta kwa wauzaji sijaupata
 
Wewe utakuwa mmbea sana,sasa hayo maneno unataka ukamsikilizishe nani?naujua lakini sikwambii.
 
Wakuu natafuta wimbo mmoja wa Christian Bella siujui jina, ila baadhi ya maishairi yake yanasema "wakikununia ipo siku watakupenda, wakikusengenya nyamaza. .nikawaida yao. ." nimetafuta kwa wauzaji sijaupata

Nilidhani Labda Unaulizia Wimbo Wa JB Mpiana Kumbe Ni Wa Mwanafunzi Wa Chekechea Wa Muziki Aitwae Christian Bella! Kwa Kukusaidia Tu Ili Upate Mandhari Ya Wimbo Wenye Maudhui Kama Hayo Uyatakayo Tafuta Album Ya INTERNET Ya JB Mpiana Na Kundi Lake Zima La Wenge Musica BCBG Kisha Sikiliza Wimbo Uitwao " SANS TE TOUCHER " Ni Wa Rhumba Na Utafurahi Na Roho Yako.
 
Mkuu Gent. Kinyumbani Bella yupo juu. Nyimbo zake zinasikilizika kulikoni za wazawa wetu. Kama ni rumba Ferre aniburudisha mno. JB si kihiivyo. .asante kwa maoni
 
Back
Top Bottom