Wimbo wa Bob Marley unavyotumiwa na CHADEMA kudhulumu wananchi

Ndugu zangu,

Leo hii ingetokea Bob Marley akafufuka angewacharaza viboko akina Lissu na Chadema kwa kitendo cha kutumia wimbo wake wa "one love" kunyang'anya wananchi hela zao za chakula kwa kisingizio cha kampeni.

Bob Marley alikuwa mwanahatakati aliyetetea maslahi ya wanyonge kupitia muziki bila kuwachangisha.

Kila sehemu wakati wa kampeni wimbo huu wa "one love" unapigwa na ghafla baadhi ya viongozi wa Chadema wanapita na mifuko kushawishi watu watoe walichonacho na kibaya zaidi hakuwa uwazi katika matumizi ya michango hiyo.

Nimalize kwa kuwashauri muwe na huruma waachieni wananchi hela zao za chakula na dawa.
Kwani kuna yeyote aliyerazimishwa kuchanga?
 
NAME : CYPRIAN MUSIBA
AGE: Between 45 - 55
MENTAL HEALTH: Crazy
MENTAL SOUND: MAD
WORK STR : CCM Propagandist
 
Kama ruzuku wanashindwa kuimanage ndio tuwape hasina yet kweli? HAPANA.

Tutamchagua JPM October 28.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Ndugu zangu,

Leo hii ingetokea Bob Marley akafufuka angewacharaza viboko akina Lissu na Chadema kwa kitendo cha kutumia wimbo wake wa "one love" kunyang'anya wananchi hela zao za chakula kwa kisingizio cha kampeni.

Bob Marley alikuwa mwanahatakati aliyetetea maslahi ya wanyonge kupitia muziki bila kuwachangisha.

Kila sehemu wakati wa kampeni wimbo huu wa "one love" unapigwa na ghafla baadhi ya viongozi wa Chadema wanapita na mifuko kushawishi watu watoe walichonacho na kibaya zaidi hakuwa uwazi katika matumizi ya michango hiyo.

Nimalize kwa kuwashauri muwe na huruma waachieni wananchi hela zao za chakula na dawa.
Hujui reggae wala muziki wa reggae roots and culture. Usingeandika hayo
 
Kila kitu wanachofanya Chadema kinawauma roho, poleni sana.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom