shareef95nes
Senior Member
- Jan 16, 2013
- 108
- 16
pole sana! mkuuWimbo wa If I culd turn back the hand of clock " wa RKelly hunikumbusha watu wangu wa karibu waliotangulia kwa Mungu
hongera kwa kumbukumbu nzuri yenye kuvutiadaaah! paper lovin by chris martins, nikiiskiaga nakumbuka nilivyokuwa na piga mtongozo siku ya mwaka mpya three yrs back mitaa flani hivi yenye utulivu wa hali ya juu,mtoto hakuchomoa na mpaka leo nnae.
Wimbo wa my love is your love wa Whitney Houston unanikumbusha 2001 nilipopanda tax stend ya ipogolo Iringa, dereva tax aliweka kanda yake wakati naenda kuanza kidato cha tano Mkwawa high school.
Manungayembe.Habari,
Nyimbo hutukumbusha matukio mbalimbali yaliyopata kututokea hapo nyuma.Matukio haya yanawezakuwa ya furaha au huzuni katika swala zima la mahusiano.
Binafsi nikisikia wimbo wa "Missing you" by Busy Signal nakumbuka miaka miwili nyuma nilipokuwa na mpenzi wangu wa zamani katika fukwe moja jijini Dar tukipunga upepo huku wimbo huu ukituburudisha.
Je,wimbo upi ambao ukiusikia unakufanya ukumbuke tukio fulani?
Kumbukumbu hiyo ni ipi?
Ahsanteni!
kweli kabisaWimbo Wa 'nikusaidieje' Wa Pr Jay,. 'Nampenda Yeye' Wa Mh. Temba, 'dhahabu' Wa Dully Sykes,. Zinanikumbusha Utamu Wa Bongoflava Za Zamani, Zilikuwa Zimetulia Sana, Uache Za Sasa Wanakurupuka,. Nyimbo Zima Inapigwa Hupati Ladha Wala Maana., Kwa Upande Wangu Wananikera Sana.
these are the unforgettable moments am talking about...hutasahau kamwe as long as hiyo "sweet life" ya fally ipupa ipo hai....kweli life with music is sweetFally Ipupa-Sweet life, nakumbuka ilikuwa morogoro kikazi nikapata one night stand moja na mtoto nuru, dah! life is beautiful kwakweli!
Hahahaaaaa umenikumbusha mambo ya kuandika barua kwenye zile karatasi zenye maua na kupulizia perfume. ..Nakumbuka 'my love' wa west life dedication ya kwanza kabisa kupewa iliandikwa kwenye barua ndeefu ya maua maua na Perfume juu.