Wimbo: Sina makosa

Wimbo: Sina makosa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,649
Reaction score
57,042
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe

Hasira za nini wee bwana
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Wataka kuniua bure baba

Kwako hayuko
Kwangu hayuko
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe

Hasira za nini wee bwana
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Wataka kuniua bure baba

Wewe una wako nyumbani
Nami nina wangu nyumbani
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe

Nasema sina makosa wee bwana
Sina makosa wee bwana
Sina makosa wee bwana
Sina makosa wee bwana
 
Mbona humpatii KREDITI mtunzi na mwimbaji!??? Tutakufungulia mashtaka ya haki & hatimiliki, ooooohoooooooooooooo!!!
 
Back
Top Bottom